Isa. 22:22 SUV

22 Na ufunguo wa nyumba ya Daudi nitauweka begani mwake; yeye atafungua wala hapana atakayefunga; naye atafunga wala hapana atakayefungua.

Kusoma sura kamili Isa. 22

Mtazamo Isa. 22:22 katika mazingira