Isa. 22:5 SUV

5 Kwa maana siku ya kutaabika, siku ya kukanyagwa, siku ya fujo inakuja, itokayo kwa Bwana, BWANA wa majeshi, katika bonde la Maono; inabomoa kuta; na kuililia milima.

Kusoma sura kamili Isa. 22

Mtazamo Isa. 22:5 katika mazingira