Isa. 25:8 SUV

8 Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana BWANA amenena hayo.

Kusoma sura kamili Isa. 25

Mtazamo Isa. 25:8 katika mazingira