Isa. 25:9 SUV

9 Katika siku hiyo watasema,Tazama, huyu ndiye Mungu wetu,Ndiye tuliyemngoja atusaidie;Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja,Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.

Kusoma sura kamili Isa. 25

Mtazamo Isa. 25:9 katika mazingira