Isa. 26:19 SUV

19 Wafu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka; amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa.

Kusoma sura kamili Isa. 26

Mtazamo Isa. 26:19 katika mazingira