Isa. 26:20 SUV

20 Njoni, watu wangu, ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafunge mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka ghadhabu hii itakapopita.

Kusoma sura kamili Isa. 26

Mtazamo Isa. 26:20 katika mazingira