Isa. 26:21 SUV

21 Kwa maana, tazama, BWANA anakuja kutoka mahali pake, ili kuwaadhibu wakaao duniani, kwa sababu ya uovu wao; ardhi nayo itafunua damu yake, wala haitawafunika tena watu wake waliouawa.

Kusoma sura kamili Isa. 26

Mtazamo Isa. 26:21 katika mazingira