Isa. 27:1 SUV

1 Katika siku hiyo BWANA, kwa upanga wake ulio mkali, ulio mkubwa, ulio na nguvu, atamwadhibu lewiathani, nyoka yule mwepesi, na lewiathani, nyoka yule mwenye kuzonga-zonga; naye atamwua yule joka aliye baharini.

Kusoma sura kamili Isa. 27

Mtazamo Isa. 27:1 katika mazingira