Isa. 26:9 SUV

9 Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku;Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema;Maana hukumu zako zikiwapo duniani,Watu wakaao duniani hujifunza haki.

Kusoma sura kamili Isa. 26

Mtazamo Isa. 26:9 katika mazingira