Isa. 26:8 SUV

8 Naam, katika njia ya hukumu zakoSisi tumekungoja, Ee BWANA;Shauku ya nafsi zetu inaelekeaJina lako na ukumbusho wako.

Kusoma sura kamili Isa. 26

Mtazamo Isa. 26:8 katika mazingira