Isa. 28:20 SUV

20 Maana kitanda kile ni kifupi asiweze mtu kujinyosha juu yake, na nguo ile ya kujifunika ni nyembamba asipate mtu kujizingisha.

Kusoma sura kamili Isa. 28

Mtazamo Isa. 28:20 katika mazingira