Isa. 28:22 SUV

22 Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ya hukumu itakayotimizwa, nayo imekusudiwa, itakayoipata dunia yote pia.

Kusoma sura kamili Isa. 28

Mtazamo Isa. 28:22 katika mazingira