Isa. 28:5 SUV

5 Katika siku ile BWANA wa majeshi atakuwa ni taji ya fahari, na kilemba cha uzuri, kwa mabaki ya watu wake.

Kusoma sura kamili Isa. 28

Mtazamo Isa. 28:5 katika mazingira