Isa. 28:4 SUV

4 na ua la uzuri wa fahari yake linalonyauka, lililo kichwani mwa bonde linalositawi, litakuwa kama tini iliyotangulia kuiva kabla ya wakati wa hari, ambayo, aionapo yeye aiangaliaye, huila mara anapoishika mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Isa. 28

Mtazamo Isa. 28:4 katika mazingira