Isa. 29:13 SUV

13 Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walicho nacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa;

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:13 katika mazingira