Isa. 29:15 SUV

15 Ole wao wanaojitahidi kumficha BWANA mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye?

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:15 katika mazingira