Isa. 29:21 SUV

21 hao wamfanyao mtu kuwa amekosa katika neno, na kumtegea mtego yeye aonyaye langoni, na kumgeuza mwenye haki kwa kitu kisichofaa.

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:21 katika mazingira