Isa. 29:22 SUV

22 Basi, BWANA aliyemkomboa Ibrahimu asema hivi, katika habari za nyumba ya Yakobo; Yakobo hatatahayarika sasa, wala uso wake hautabadilika rangi yake.

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:22 katika mazingira