Isa. 3:5 SUV

5 Nao watu wataonewa, kila mtu na mwenziwe, na kila mtu na jirani yake; mtoto atajivuna mbele ya mzee, na mtu mnyonge mbele ya mtu mwenye heshima.

Kusoma sura kamili Isa. 3

Mtazamo Isa. 3:5 katika mazingira