Isa. 30:21 SUV

21 na masikio yako yatasikia neno nyuma yako, likisema, Njia ni hii, ifuateni; mgeukapo kwenda mkono wa kulia, na mgeukapo kwenda mkono wa kushoto.

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:21 katika mazingira