Isa. 30:22 SUV

22 Nanyi mtakitia najisi kifuniko cha sanamu zenu za fedha zilizochongwa, na mabamba ya sanamu zenu za dhahabu zilizoyeyushwa; utazitupilia mbali kama kitu kilicho najisi; utasema, Haya, toka hapa.

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:22 katika mazingira