Isa. 33:14 SUV

14 Wenye dhambi walio katika Sayuni wanaogopa; tetemeko limewashika wasiomcha Mungu; Ni nani kwetu sisi awezaye kukaa na moto ulao; ni nani kwetu sisi awezaye kukaa na moto uteketezao milele?

Kusoma sura kamili Isa. 33

Mtazamo Isa. 33:14 katika mazingira