Isa. 33:18 SUV

18 Moyo wako utatafakari hofu ile; Yuko wapi yeye aliyehesabu? Yuko wapi yeye aliyeupima ushuru? Yuko wapi yeye aliyeihesabu minara?

Kusoma sura kamili Isa. 33

Mtazamo Isa. 33:18 katika mazingira