Isa. 33:19 SUV

19 Hutawaona watu wale wakali; watu wa maneno magumu usiyoweza kuyafahamu; wenye lugha ya kigeni usiyoweza kuelewa nayo.

Kusoma sura kamili Isa. 33

Mtazamo Isa. 33:19 katika mazingira