Isa. 33:20 SUV

20 Angalia Sayuni, mji wa sikukuu zetu; macho yako yatauona Yerusalemu umekuwa kao la raha; hema isiyotanga-tanga; vigingi vyake havitang’olewa, wala kamba zake hazitakatika.

Kusoma sura kamili Isa. 33

Mtazamo Isa. 33:20 katika mazingira