Isa. 33:21 SUV

21 Bali huko BWANA atakuwa pamoja nasi, mwenye adhama; mahali penye mito mipana na vijito, pasipopita mashua na makasia yake; wala hapana merikebu ya vita itakayopita hapo.

Kusoma sura kamili Isa. 33

Mtazamo Isa. 33:21 katika mazingira