Isa. 34:15 SUV

15 Huko pili atafanya kioto chake na kuzaa na kuotamia, na kukusanya watoto wake katika kivuli chake; naam, huko watakusanyika tai, kila mmoja na mwenzake.

Kusoma sura kamili Isa. 34

Mtazamo Isa. 34:15 katika mazingira