Isa. 34:16 SUV

16 Tafuteni katika kitabu cha BWANA mkasome; hapana katika hao wote atakayekosa kuwapo, hapana mmoja atakayemkosa mwenzake; kwa maana kinywa changu kimeamuru, na roho yake imewakusanya.

Kusoma sura kamili Isa. 34

Mtazamo Isa. 34:16 katika mazingira