Isa. 34:5 SUV

5 Maana upanga wangu umekunywa na kushiba mbinguni; tazama, utashukia Edomu, na juu ya watu wa laana yangu, ili kuwahukumu. Oba 1-14; Mal 1:2-5

Kusoma sura kamili Isa. 34

Mtazamo Isa. 34:5 katika mazingira