Isa. 34:6 SUV

6 Upanga wa BWANA umeshiba damu, umenona kwa unono, kwa damu ya wana-kondoo na mbuzi, kwa mafuta ya figo za kondoo waume; maana BWANA ana dhabihu huko Bozra, machinjo makubwa katika nchi ya Edomu.

Kusoma sura kamili Isa. 34

Mtazamo Isa. 34:6 katika mazingira