Isa. 34:7 SUV

7 Na nyati watatelemka pamoja nao, na mahasai pamoja na mafahali, na nchi yao italewa kwa damu, na mavumbi yake yatanoneshwa kwa shahamu.

Kusoma sura kamili Isa. 34

Mtazamo Isa. 34:7 katika mazingira