Isa. 35:7 SUV

7 Na mchanga ung’aao mfano wa maji utakuwa ziwa la maji, na nchi yenye kiu itakuwa chemchemi za maji; katika makao ya mbweha, walipokuwa wamelala, patakuwa na majani, pamoja na mianzi na manyasi.

Kusoma sura kamili Isa. 35

Mtazamo Isa. 35:7 katika mazingira