Isa. 35:8 SUV

8 Na hapo patakuwa na njia kuu, na njia, nayo itaitwa, Njia ya utakatifu; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; wasafirio, wajapokuwa wajinga, hawatapotea katika njia hiyo.

Kusoma sura kamili Isa. 35

Mtazamo Isa. 35:8 katika mazingira