Isa. 36:15 SUV

15 wala msimwache Hezekia kuwatia moyo wa kumtumaini BWANA; akisema, BWANA bila shaka atatuokoa, mji huu hautatiwa katika mkono wa mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili Isa. 36

Mtazamo Isa. 36:15 katika mazingira