Isa. 36:16 SUV

16 Msimsikilize Hezekia; maana mfalme wa Ashuru asema hivi, Fanyeni suluhu na mimi, mkatoke mnijie, mkale kila mtu matunda ya mzabibu wake na matunda ya mtini wake, mkanywe kila mmoja maji ya birika yake mwenyewe;

Kusoma sura kamili Isa. 36

Mtazamo Isa. 36:16 katika mazingira