Isa. 36:6 SUV

6 Tazama, unaitumainia fimbo ya mwanzi huu uliopondeka, yaani, Misri, ambayo, mtu akitegemea juu yake, humwingia mkononi na kumchoma; ndivyo alivyo Farao, mfalme wa Misri, kwa wote wamtumainio.

Kusoma sura kamili Isa. 36

Mtazamo Isa. 36:6 katika mazingira