Isa. 37:10 SUV

10 Mwambieni Hezekia, mfalme wa Yuda, maneno haya, mkisema, Asikudanganye Mungu wako unayemtumaini, akisema, Yerusalemu hautatiwa katika mikono ya mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:10 katika mazingira