Isa. 37:9 SUV

9 Naye alisikia habari ya Tirhaka, mfalme wa Kushi, ya kwamba, Ametoka ili kupigana nawe; naye aliposikia hayo, akatuma wajumbe kwa Hezekia, kusema,

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:9 katika mazingira