Isa. 37:8 SUV

8 Basi yule amiri akarudi, akamkuta mfalme wa Ashuru anafanya vita juu ya Libna; kwa maana alikuwa amesikia ya kwamba ameondoka, akaacha Lakishi.

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:8 katika mazingira