Isa. 37:7 SUV

7 Tazama, nitatia roho ndani yake, naye atasikia kivumi, na kurudi hata nchi yake mwenyewe, nami nitamwangusha kwa upanga katika nchi yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:7 katika mazingira