Isa. 37:6 SUV

6 Isaya akawaambia, Mwambieni bwana wenu maneno haya; BWANA asema hivi, Usiyaogope maneno uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana.

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:6 katika mazingira