Isa. 38:17 SUV

17 Tazama; nalikuwa na uchungu mwingi kwa ajili ya amani yangu;Lakini kwa kunipenda umeniokoa na shimo la uharibifu;Kwa maana umezitupa dhambi zangu zote nyuma yako.

Kusoma sura kamili Isa. 38

Mtazamo Isa. 38:17 katika mazingira