Isa. 39:3 SUV

3 Ndipo Isaya nabii akamwendea mfalme Hezekia, akamwambia, Watu hawa walisema nini? Nao wametoka wapi kuja kwako? Hezekia akasema, Wametoka katika nchi iliyo mbali, wakaja kwangu toka Babeli.

Kusoma sura kamili Isa. 39

Mtazamo Isa. 39:3 katika mazingira