Isa. 39:4 SUV

4 Ndipo akasema, Wameona nini katika nyumba yako? Hezekia akajibu, Wameviona vitu vyote vilivyomo nyumbani mwangu; hapana kitu katika hazina zangu nisichowaonyesha.

Kusoma sura kamili Isa. 39

Mtazamo Isa. 39:4 katika mazingira