Isa. 40:27 SUV

27 Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?

Kusoma sura kamili Isa. 40

Mtazamo Isa. 40:27 katika mazingira