Isa. 40:28 SUV

28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.

Kusoma sura kamili Isa. 40

Mtazamo Isa. 40:28 katika mazingira