Isa. 42:16 SUV

16 Nitawaleta vipofu kwa njia wasiyoijua; katika mapito wasiyoyajua nitawaongoza; nitafanya giza kuwa nuru mbele yao; na mahali palipopotoka kuwa pamenyoka. Haya nitayatenda, wala sitawaacha.

Kusoma sura kamili Isa. 42

Mtazamo Isa. 42:16 katika mazingira