Isa. 42:17 SUV

17 Watarudishwa nyuma, wataaibishwa sana, hao wanaotumainia sanamu za mawe, na kuziambia sanamu za madini, Ninyi ndinyi miungu yetu.

Kusoma sura kamili Isa. 42

Mtazamo Isa. 42:17 katika mazingira