Isa. 43:12 SUV

12 Nimetangaza habari, nimeokoa, nimeonyesha, na hapakuwa mungu wa kigeni kati yenu; kwa sababu hiyo ninyi ni mashahidi wangu, asema BWANA, nami ni Mungu.

Kusoma sura kamili Isa. 43

Mtazamo Isa. 43:12 katika mazingira