Isa. 43:13 SUV

13 Naam, tangu siku ya leo, mimi ndiye; wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu; mimi nitatenda kazi, naye ni nani awezaye kuizuia?

Kusoma sura kamili Isa. 43

Mtazamo Isa. 43:13 katika mazingira